Urithi Wetu-Our Heritage-olduvai Gorge
04:36
Urithi Wetu ni ni mtirirko wa wa vipindi vya Radio na televiosion vinavyorushwa na mlimani media. Pamoja na mambo mengine, inawakutanisha wadau mbalimbali wa urithi wa utamaduni na mali kale kufikisha mitazamo yao juu ya urithi wa utamaduni unaopatikana Tanzania. Kwa maelezo zaidi unaweza kuwatembela "Urithi Wetu" kwenye mtandao wa facebook, twitter, na Instagram.
0 comments