MUSEUM ART EXPLOSION: Presents Monthly Program on 25th November 2016 From 07:00Pm to 09:30Pm. The perfomance will encopmass Music and Contempprary dance presented by the Jumping Village and Electric Tire Land. this event will take place at Museum and House of Culture Theatre.This very excting unique event for mind and Soul relaxation. DONT MISS IT!!!
Tickets available at Museum and House of Culture located at 06 Shaaban Robert Street for Tshs.10,000/- adult and Tshs.5000/- for students and childrens. WELCOME ALL!!!
***********************************
MUSEUM ART EXPLOSION: Inakuletea Maonesho ya kila Mwezi Tarehe 25.11.2016 Kuanzia saa 01:00 Jioni Mpaka saa 03:30 Usiku. Katika Jukwaa moja Maonesho ya Muziki na Dansi yataoneshwa na The Jumping Village pamoja na Electric Tire Land katika ukumbi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni. Maonesho ni ya kipekee yenye kuburudisha akili na roho. SI YA KUKOSA
Tiketi zinapatikana Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Mtaa wa Shaaban Robert 06 kwa Sh.10000/- kwa wakubwa na Sh.5000/- kwa wanafunzi na watoto KARIBUNI WOTE!!!! ********************
0 comments